FIZIOTHERAPIA DARAJA LA II (PHYSIOTHERAPIST II)
Employer: MDAs & LGAs
Salary Scale: TGHS-B
Posts: 39
Closing Date: 27 Feb 2026
Duties & Responsibilities
- Kutoa tiba kwa kuzoeza viungo/ kwa vitendo.
- Kukusanya na kutunza takwimu na taarifa za mgonjwa.
- Kutunza vifaa vya Idara.
- Kutoa elimu ya Afya kwa jamii kuhusu kutambua dalili na kuzuia ulemavu.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Stashahada ya Fiziotherapia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na kusajiliwa kwa usajili wa kudumu (Full Registration Practitioners) na Baraza la Madaktari Tanganyika.
