AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II)

Employer: MDAs & LGAs

Salary Scale: TGHS C

Posts: 50

Closing Date: 27 Feb 2026

Duties & Responsibilities

  1. Kufanyakazizakiuguzizakuhudumiawatejakatikajamii,hospitalina sehemu zote zinapotolewa huduma za afya;
  2. Kukusanyatakwimumuhimuzaafya;
  3. Kuwaelekezanakusimamiawauguziwaliochiniyake;
  4. Kutoahudumakwawagonjwa majumbani;
  5. Kutoaushaurinasaha;
  6. Kutayarishampangowakazikwaajiliyahudumazauuguzi;
  7. Kutoahudumazakingana uzazi;
  8. Kuelimishawagonjwanajamii;
  9. Kufanya kazi           nyingine         atakazopangiwa       na       mkuu  wake   wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

Qualifications

Kuajiriwa Wahitimu wenye Shahada ya Uuguzi kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali,waliohitimu mafunzo ya vitendo kazini (Internship) ya mwaka mmoja, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania.