AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II – ASSISTANT NURSING OFFICER II
Employer: MDAs & LGAs
Salary Scale: TGHS-B
Posts: 100
Closing Date: 27 Feb 2026
Duties & Responsibilities
- Kutoa huduma za uuguzi.
- Kukusanya takwimu muhimu za afya.
- Kuwaelekeza kazi wauguzi walio chini yake.
- Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya.
- Kutoa huduma za kinga na uzazi.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Stashahada (Diploma) ya Uuguzi, ya muda usiopungua miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania
