TABIBU MSAIDIZI DARAJA LA II(CLINICAL ASSISTANT II)

Employer: MDAs & LGAs

Salary Scale: TGHS A

Posts: 90

Closing Date: 27 Feb 2026

Duties & Responsibilities

  1. Kutoa huduma za kinga na tiba
  2. Kutambua na kutibu magonjwa
  3. Kutoa huduma ya Afya ya msingi (Primary Health Care)
  4. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

 

 

 

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wenye Cheti cha Kidato cha IV ambao wamehitimu Mafunzo ya Miaka Miwili ya Tabibu Wasaidizi (Clinical Assistants Certificate).