MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II)

Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

Salary Scale: TGS C

Posts: 1

Closing Date: 08 Mar 2026

Duties & Responsibilities

  1. Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
  2. Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
  3. Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)
  4. Kupokea majalada  kwa Watendaji (action officers)
  5. Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji
  6. Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
  7. Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)

Qualifications

Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Utunzaji Kumbukumbu kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.