AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER II)
Employer: Wizara ya Afya
Salary Scale: TGHS B (MOH)
Posts: 40
Closing Date: 18 Jul 2026
Duties & Responsibilities
i. Kutoa huduma za uuguzi
ii. Kukusanya takwimu muhimu za afya.
iii. Kuwaelekeza kazi wauguzi walio chini yake
iv. Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya
v. Kutoa huduma za kinga na uzazi
vi. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
Qualifications
Kuajiriwa wahitimu wenye Stashahada (Diploma) ya Uuguzi, kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania.
