MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II (QUANTITY SURVEYOR GRADE II)
Employer: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Salary Scale: TGS.E
Posts: 5
Closing Date: 06 Aug 2026
Duties & Responsibilities
- Kuandaa ratiba ya kazi, gharama za ujenzi (BOQ) na Hati za mikataba.
- Kuanda makisio ya gharama za miradi ya Ujenzi.
- Kukusanya takwimu na kufanya uchunguzi ( survey)ya ukarabati wa miradi ya Ujenzi
- Kuandaa bajeti ya miradi ya ujenzi
- Kuandaa taarifa za uthamini wa miradi ya ujenzi.
- Kwa kushirikiana na Mkadiriaji ujenzi kuandaa taarifa fupi za ujenzi wa miradi.
- Kushughulikia masuala yote ya utawala wa fedha za miradi ,kuandaa hati / vibali maalumu vya ujenzi na mikataba.
- Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa Wahitimu wenye Shahada/Stashahada ya juu ya Uhandisi kutoka vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali katika fani inayohusiana na Ukadiriaji Ujenzi (quantity Surveryor) na awe amesajiliwa na Bodi inayosimamia Taaluma hii ya Ukadiriaji Ujenzi.(AQRB)
