AFISA ARDHI DARAJA LA II (LAND OFFICER II)
Employer: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Salary Scale: TGS.E
Posts: 40
Closing Date: 06 Aug 2026
Duties & Responsibilities
- Kuingiza kumbukumbu katika kompyuta;
- Kutoa ushauri kwa wateja;
- Kupokea, kukagua na kusambaza majalada kwa maafisa kwa utekelezaji.
- Kusaidia Maafisa Ardhi katika ukaguzi na kuchukua kumbukumbu, picha taarifa, vipimo vya majumba na michoro;
- Kujumuisha na kuandaa taarifa za ukaguzi;
- Kuandaa rasimu za Hati na uingizaji wa plani ya Hati (deed plan);
- Kuagiza plani za Hati (Deed Plan).
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Usimamizi ardhi na Uthamini au Shahada ya Sheria kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.
