FUNDI SANIFU DARAJA LA II UPIMAJI ARDHI (LAND TECHNICIAN SURVEY II)
Employer: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Salary Scale: TGS.C
Posts: 10
Closing Date: 06 Aug 2026
Duties & Responsibilities
- Kupanga na kuandaa mahitaji ya kambi za upimaji vifaa vya upimajoi na mahitaji ya jumla
- Kufanya upimaji wa awali na kusimika ardhini alama za upimaji
- Kufanya upimaji na kukusanya taarifa na takwimu zote za upimaji
- Kuchora “Sketch” ya mchoro ya upimaji
- Kufanya mahesabu ya upimaji
Qualifications
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye cheti cha mafunzo ya ufundi ya miaka miwili katika fani za upimaji ardhi kutoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
