MKUFUNZI ARDHI DARAJA LA II (LAND TUTOR II - REAL ESTATE, FINANCE AND INVESTMENT)

Employer: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Salary Scale: TGS.E

Posts: 2

Closing Date: 06 Aug 2026

Duties & Responsibilities

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE i.         Kufundisha.

 ii.       Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (Projects).

 iii.     Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani na nje.

 iv.     Kutoa ushauri wa kiufundi na kitaalam.

 v.      Kuendesha tafiti na ushauri.

 vi.     Kuandaa taarifa za tathmini na mapedekezo ya mitaala ya masomo.

 

Qualifications

uajiriwa muhitimu mwenye Shahada ya Kwanza katika mojawapo ya fani zifuatazo; Usimamizi wa Milki na Nyenzo (Bachelor of Science in Properties and Facilities Management -BSc.PFM), Fedha na Uwekezaji katika Milki Kuu (Bachelor of Science in Real Estate Finance and Investment (BSc.REFI), Sayansi ya Usimamizi wa Ardhi na Uthamini (Bachelor of Science in Land Management and Valuation - BSc.LMV) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali wenye GPA isiyopungua 3.0