MKUFUNZI ARDHI DARAJA LA II (LAND TUTOR II - ENVIRONMENTAL MANAGEMENT)

Employer: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Salary Scale: TGS.E

Posts: 1

Closing Date: 06 Aug 2026

Duties & Responsibilities

i. Kufundisha

ii. Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (projects)

iii. Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani na nje

iv. Kuendesha tafiti na ushauri

v. Kuandaa taarifa za tathmnini na mapendekezo ya mitaala ya masomo

Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada ya Usimamizi wa Mazingira (Environmental Management) kutoka kwenye Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali wenye GPA isiyopungua 3.0.