MKUFUNZI MSAIDIZI ARDHI (ASSISTANT LAND TUTOR II - LAND MANAGEMENT AND EVALUATION)

Employer: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Salary Scale: TGS D

Posts: 2

Closing Date: 06 Aug 2026

Duties & Responsibilities

i. Kufundisha

ii. Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (projects)

iii. Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani nan je.

iv. Kuendesha tafiti na ushauri

v. Kuandaa taarifa za tathmnini na mapendekezo ya mitaala ya masomo

Qualifications

Kuajiriwa mwenye Stashada ya Usimamizi wa Ardhi na Uthamini kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali wenye GPA isiyopungua 3.0