AFISA MISITU MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FOREST OFFICER GRADE II)

Employer: MDAs & LGAs

Salary Scale: TGS C

Posts: 28

Closing Date: 17 Sep 2026

Duties & Responsibilities

i. Kusimamia ukusanyaji mbegu na bustani za miti.

ii. Kukusanya takwimu za misitu.

iii. Kusimamia kazi za upandaji, utunzaji na uvunaji wa miti/misitu.

iv. Kukusanya maduhuli.

v. Kupima mazao ya misitu.

vi. Kufanya doria.

vii. Kufanya kazi nyingine kama atakavyoagizwa na Msimamizi wake;

Qualifications

Kuajiriwa wenye Stashahada katika mojawapo ya fani zifuatazo; Forestry, Agroforestry, Forest Resources Assessment and Management, Forest Biology, Forest Economics, Forest Engineering au fani nyingine inayoendana na hiyo kutoka katika Taasisi au Vyuo vinavyotambulika na Serikali.